Ukuzaji maua ya waridi nchini Iran

Kiswahili Radio 72 views
Mji wa Birjand, mashariki mwa Iran umepata umashuhuri kutokana na ukuzaji wa maua ya waridi.

Ua la waridi ni maarufu na maridadi na ni nembo ya mapenzi kote duniani. Aina ya maua ya waridi yanayokuzwa nchini Iran ni yale yenye asili ya Uholanzi ambayo yanajulikana kimataifa. Ukuzaji wa maua ya waridi unaendelea kupata umashuhuri nchini Iran kwa ajili ya kukidhi majitaji ya soko la ndani ya nchi na uuzaji katika soko la kimataifa

 

Add Comments