Jengo la biashara la Michenzani Mall Zanzibar lazinduliwa na Rais Shein

Kiswahili Radio 10 views
Rais wa Zanzibar Ali Muhammad Shein amesema kuwa serikali imejenga jengo la biashara la Michenzani Mall ili kuwawezesha wananchi kuingia katika utaratibu wa kuuza biashara kwa njia za kisasa.

Add Comments