Wananchi wa Rwanda wa maeneo hatarishi wahamishwa na kupatiwa nyumba za kisasa

Kiswahili Radio 32 views
Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi waliokuwa hapo awali wamekataa kuhamishwa kutoka maeneo hatarishi kwenda kwenye sehemu ambayo serikali ya nchi hiyo inawajengea nyumba za kisasa.

Wananchi hao ambao malalamiko yao yaliendelea kusikika kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya Rwanda hatimaye watahama bila kupewa pesa taslimu lakini nyumba safi na za kisasa.

Add Comments